← Home

Eh Mungu

Healing Worship Ministry

1.

Eh mungu wa majeshi

Wewe umetukuka

Dunia yote nzima

Zaidi ya ufalme wote

2.

Makerubi,na maserafi

Wanaimba kila siku

Wakisema mtakatifu

Mtakatifu,mtakatifu

3.

Ikiwa,ikiwa viumbe

Visivyo visivyo hai

Vyatetemeka mbele zako

Eh mungu wangu

Je Mimi aliye hai

Nitakusifu vipi?

Nitakuimbia vipi?

Wewe umetukuka milele daima